» » Hit Alert: Papa Wemba Ft. Diamond Platnumz soon kwenye sikio lako! Kaa Tayari


Ni mwezi kadhaa imepita toka tumempoteza Papa Wemba ambae alikuwa ameshafanya Collabo naDiamond Platnumz kutoka Tanzania.


Hizi ni taarifa njema kwa wapenzi wa muziki wa Hayati Papa Wemba na Wapenzi wa Muziki waDiamond Platnumz, Taarifa zilizonifikia ni kuwa tarehe 24 mwezi huu Collabo hii itaachiwa.
Endelea kutembelea mtandao huu, uwe wa kwanza kuipakua Hit hii.

About Unknown

Hi there! I am Hung Duy and I am a true enthusiast in the areas of SEO and web design. In my personal life I spend time on photography, mountain climbing, snorkeling and dirt bike riding.
«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani

Hakuna maoni:

Leave a Reply